Mnaotaka na kulilia jeshi lichukue nchi hamjitambui

Vyama vya siasa vimejaa mapandikizi. Wananchi walitakiwa wenyewe kwa umoja wao wasimamie kile wanachokitaka na mwanasiasa yoyote anayewakwamisha walitakiwa wamuwajibishe.

Viongozi wa kweli watajulikana katikati ya fukuto la shinikizo la wananchi.
Wanaopaswa kuwaongoza Wananchi pindi wanapochukua hatua ni Wanajeshi maana duniani kote Jeshi ndo Taasisi ya mwisho kusimama na Wananchi.

Wananchi tuko sahihi sana kuliunga mkono Jeshi kuchukua nchi.
 
Acha Jeshi lichukue Nchi tu mbona ninyi hamkushauri Chadema ilipozuiliwa kushiriki uchaguzi? mbona mlikaa kimya Tundu Lissu alipo onewa na Mahakama ya CCM ?
 
Acha Jeshi lichukue Nchi tu mbona ninyi hamkushauri Chadema ilipozuiliwa kushiriki uchaguzi? mbona mlikaa kimya Tundu Lissu alipo onewa na Mahakama ya CCM ?
 
Kutaka jeshi lipindue nchi ili kuwa na demokrasia ni sawa na kusema mgonjwa auawe ili apate nafuu.
 
na burkina faso je
 
..Ccm nao waje kitaa waanze kupigwa na kutekwa kama wanavyofanyiwa wapinzani.

..we will all be in the same boat and that is when the struggle for a real and just democracy will begin.
That would be a sight to behold πŸ˜†

Kama Nape alivyofanywa na MAGU, sasa wafanyiwe vile chama kizima hivi.​
 
Naona leo mafisadi , majizi,chawa na kunguni hamna amani kulikoni ?

Mmesema sio mwanajeshi ni video ya AI mara aliyoongea ni uongo sasa wasiwasi wa nini?
When a gunbarrel takes over, it does not have affinity to anyone. Just orders. Now that's very perplexing to Veggies πŸ˜†​
 
Things are boiling nicely it is no longer a walk in the park.
Good thing about TZ, barracks and troops are not directly under Generals, but Brigadier Generals, Colonels and Lieutenant-Colonels.

The Boss Lady made a miscalculation and doesn't learn from history, that all coup attempts in TZ were launched by Colonels, Captains and other mid-ranking officers, not Bloated Generals.

What a time to be alive...😎​
 
Sasa kama CCM haitaki kuheshimu demokrasia ya vyama vingi na kuleta mabadiliko kwa njia ya kistaarabu yaani uchaguzi huru na wa haki maana yake wanataka shari na shari wataipata .
 
Kutaka jeshi lipindue nchi ili kuwa na demokrasia ni sawa na kusema mgonjwa auawe ili apate nafuu.
Haijalishi. Hii nchi ilipofika sasaivi ni lazima tuanze upya.

CCM wame collapse kila kitu. Tunaunga mkono Jeshi kuchukua nchi
 
What if all civilian political tools and apparatus have been hijacked by the cabal (deep state). What else should civilians hope except military .....?
 
Lijinga hilo mkuu
 
jeshi halina msamiati unaoitwa demokrasi, hawajafundishwa hicho kitu, wao ni amri na kuitekeleza, utatoa malalamiko baadae....kusema jeshi lichukue nchi, lisimamie mchakato wa katiba, kisha lirudishe mamlaka kwa wananchi huo sio utamaduni wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…