Mnaotaka na kulilia jeshi lichukue nchi hamjitambui

Kwani mbona mpaka Sasahivi kama tunaongozwa na jeshi?hakuna jipya hapa,hakuna uhuru wa tarifa wapinzani wanaishi Kama digidigi ktk nchi yao,ukitoa maoni kidogo kukosoa Serikali jianda kufikiwa na wasiojulikana,hakina unanijua mie ninani ndio wenye amri kuliko hata viongozi,vyombo vyote vya habari vinavyokosoa CCM vinafungiwa.Hapa bila VPN hautoboi.Ni heri jeshi mara mia kuliko kudanganywa na democrasia huko tunaibiwa na kuhuwawa.
 
DHULMA, MAUAJI, UTEKAJI, IMPUNITY, WIZI, UFISADI siyo SIASA.
 
Mtu kama wewe ni wa kupuuzwa!

Hovyo kabisa wewe!

Nini kitazika demokrasia endapo jeshi litachukua nchi?

Kwa taarifa yako jeshi litachukua nchi kwa kipindi cha mpito tu, na katika kipindi hicho wataruhusu marekebisho ya katiba na kisha uchaguzi utaitishwa.

Sisi au wanaotaka Samia aendelee nani hana akili

Mfano Bora tumeuona Rwanda ya General Kagame.


Kamanda Traore

..Kwanini jeshi liingilie kati?

..Kwasababu Ccm nao wanatumia majeshi mengine kudhulumu wapinzani.

..kwa hiyo ili Ccm iache dharau na dhuluma inabidi waje watu wenye nguvu inayolingana na majeshi yanayoitumikia Ccm badala ya nchi.

Wanaotoa mashinkizo wanauwa na kufungwa jeshi ni sawa tu kwani nini shida cha muhimu ccm itoke

..Jwtz ndio wataoiweza Ccm iliyoungana na Polisi na Tiss.


Wanaopaswa kuwaongoza Wananchi pindi wanapochukua hatua ni Wanajeshi maana duniani kote Jeshi ndo Taasisi ya mwisho kusimama na Wananchi.

Wananchi tuko sahihi sana kuliunga mkono Jeshi kuchukua nchi.

Acha Jeshi lichukue Nchi tu mbona ninyi hamkushauri Chadema ilipozuiliwa kushiriki uchaguzi? mbona mlikaa kimya Tundu Lissu alipo onewa na Mahakama ya CCM ?

Acha Jeshi lichukue Nchi tu mbona ninyi hamkushauri Chadema ilipozuiliwa kushiriki uchaguzi? mbona mlikaa kimya Tundu Lissu alipo onewa na Mahakama ya CCM ?

Naona leo mafisadi , majizi,chawa na kunguni hamna amani kulikoni ?

Mmesema sio mwanajeshi ni video ya AI mara aliyoongea ni uongo sasa wasiwasi wa nini?

na burkina faso je

When a gunbarrel takes over, it does not have affinity to anyone. Just orders. Now that's very perplexing to Veggies 😆​

Things are boiling nicely it is no longer a walk in the park.


Sasa kama CCM haitaki kuheshimu demokrasia ya vyama vingi na kuleta mabadiliko kwa njia ya kistaarabu yaani uchaguzi huru na wa haki maana yake wanataka shari na shari wataipata .

Haijalishi. Hii nchi ilipofika sasaivi ni lazima tuanze upya.

CCM wame collapse kila kitu. Tunaunga mkono Jeshi kuchukua nchi

Ajitambui mama yako

What if all civilian political tools and apparatus have been hijacked by the cabal (deep state). What else should civilians hope except military .....?

Lijinga hilo mkuu

Demokrasia ndo nini bhana wewe tunataka kiongozi mzalendo.

We tuondolee ujinga
Unaona nchi iko paxuri au sbb we unakula na familiar yako vzr basi

Kuliko CCM ..
Afadhali ya jeshi aisee
Maumivu na matamanio yenu nayajua vizuri tu. Ninachofanya ni kuwaonyesha njia mnayoitamani siyo sahihi.

Kabla hamjaenda mbali, jiulizeni wapi mliona kapteni wa jeshi katoka kama hivi, hajatangaza mapinduzi bali kaja tu na hoja za kisiasa ambazo ni copy and paste zinazozungumzwa kila siku mitandaoni. Nia hasa ni nini? Eti yuko tayari kwa lolote. Come on now! Naamini mna ufahamu na akili kuliko mnazoonyesha sasa hivi.

Hawa wote kina Mpina, Polepole, huyo kapteni wenu na nadhani hata Mange ni watu waliotumwa kuwavuruga na mnavurugika kweli kweli. Someni "between the lines" muweze kuwatambua yupi ni yupi.

So long as hampati ujasiri wa kufanya kile ambacho mnajua wazi mnatakiwa kufanya kwa umoja wenu, mtaendelea kupata shida sana kuikabili CCM. Nasikitika sana kusema haya maana natamani sana Tanzania ipate mabadiliko hayo ya kisiasa, kisheria, kijamii na kiuchumi ila kwa njia sahihi siyo hizo njia ambazo zitaturudisha nyuma miaka 30 na kuwalinda wale walioiharibu nchi.
 

Hatuwezi kurudi nyuma zaidi ya sasa. Nchi inaongozwa na genge la wahuni wasio na uchungu wowote na Tanganyika.

Mdogomdogo tutafika, nafikiri kabla ya mwaka mpya. Kuwaunga mkono Tesha, Polepole na wazalendo wengine ni ishara nzuri. Wazalendo wengine wengi watajitokeza siku za karibuni na wengine kuwapinga, kuwadhibiti na kuvujisha mipango yao yote yote miovu ya hawa majambazi yaliyoshikilia nchi kwa sasa.
 
Una uhakika unaelewa maana ya Junta?

Unafananisha kilichotokea Marekani 1776 na kilichotokea Rwanda? Au Misri baada ya Muslim Brotherhood?
 
Kwa nini sasa hivi kuna democrasia au kuna maigizo haiwezi watu watumie rasilimali za nchi kwa uchaguzi wa maigizo bora moja jeshi
A demo
 
..Kwanini jeshi liingilie kati?

..Kwasababu Ccm nao wanatumia majeshi mengine kudhulumu wapinzani.

..kwa hiyo ili Ccm iache dharau na dhuluma inabidi waje watu wenye nguvu inayolingana na majeshi yanayoitumikia Ccm badala ya nchi.
Mimi ni mtu ninayependa kuangalia mambo kwa umakini sana kabla ya kuongea lolote.

Kuna viashiri nilianza kuviona wiki mbili tatu zilizopita vinavyoniambia kuna uwezekano wa uchaguzi mkuu kuahirishwa.
 
We una uhakika gani kama hauko hiyo miaka 30?kama mpk sas hiv tunachimbiwa choo na kina sijui marie stoppe tuna utofaut gan wa kuishi miaka hyo unayosema na sasa hivi?
 
Hiyo ni wishful thinking mkuu.

Mtu yeyote mwenye akili timamu.

Kamwe hatashangilia utawala wa kijeshi.

Nchi zote zenye maendeleo ya kweli demokrasia ndio njia sahihi ya kubadili utawala , sio jeshi.
Wanajeshi ni watanzania acha chuki wewe . George Washington alikuwa wanajeshi. Traore ni mwanajeshi
 
Una uhakika unaelewa maana ya Junta?

Unafananisha kilichotokea Marekani 1776 na kilichotokea Rwanda? Au Misri baada ya Muslim Brotherhood?
In American colonies power was taken by force. In Rwanda power was also taken by force. Whether the political outcomes were dissimilar, that I don't care, all I care about are economic outcomes, the common goods.

And, I can affirm here that, A violent Revolution in America Colonies created a Republic, a political tool which met financial ends of all Americans.

And, I can also affirm here that, A a a Brutal and Violent Civil War in Rwanda, created a Military Dictatorship, a political tool which meets financial ends of all Rwandans.

Regardless, the process that will happen in Tanzania, all coups are violent and pervasive. CCM will surely collapse, whether through a a Junta (Which I really prefer for now), or a Democracy, or Dictatorship of any kind.

I can condone any form of Government that will deliver economic goods to Tanzanians even at gun point.

Ninyi mlijisahau mno, mkadhani mnaishi paradiso. Nchi haiendeshwi kimazoea hata siku moja. Mpate mtu katili kuliko JPM awaburute kwanza ndiyo mtakuwa na adabu.

Ninyi watu hamna hata chembe ya adabu.​
 
Huko nyuma utakuta ameficha na pazia kuna ndoo ya plastiki, mtungi wa gesi na visufuria....
Kapteni manyota tu,

 
We tuondolee ujinga
Unaona nchi iko paxuri au sbb we unakula na familiar yako vzr basi
Umenifurahisha sana mkuu. Wajeda wachukue kwa mwaka mmoja au miezi 6. Tundu Lissu apewe jukumu la kuiboresha rasimu ya katiba ya Warioba. Halafu wanarudisha madaraka kwa raia na uchaguzi mpya unafanyika chini ya katiba na tume huru mpya huku Lissu akiwa mgombea. Dah!
 
Nani amekufanya wewe kuwa mwamuzi wetu hata utake kutuamlia cha kuwaza ?

Hata bila Mange, Polepole, Kapteni, Tanzania lazima iingie korongoni, hakuna linaloweza kuzuia hilo kutokea. Huwezi kuongoza nchi kihuni-huni kama wanavyofanya CCM halafu ukategemea taifa lisipatwe na tashwishwi.

CCM's Magic Wand is broken. They'll enlist help from Armenia, Israel, China, Russia and South Africa, paying foreign spies billions of money for consultancy, spywares and clout, but nothing will salvage their sinking ship or spare them from crucifixion.

MTI MBICHI, Mwalimu Nyerere was forced to resign in 1985 after five tumultuous years marred by coups and assassination plots in 1982, 1983 and 1983. MITI MIKAVU, JK, Samia, Rostam, and Asian Elites wanaovuruga hii nchi unadhani ndiyo watapona ?

Haiwezekani hata kidogo. Wewe subiri utaona tu.​
 
Mimi ni mtu ninayependa kuangalia mambo kwa umakini sana kabla ya kuongea lolote.

Kuna viashiri nilianza kuviona wiki mbili tatu zilizopita vinavyoniambia kuna uwezekano wa uchaguzi mkuu kuahirishwa.
CCM watahairisha uchaguzi kwa hadaa, hila na hofu, lakini wakifanya hivyo ndiyo utakuwa mwisho wao. UJUMBE, ambao utatufikia sisi wananchi ni kwamba kumbe CCM inaogopa na tutaendelea kukaza zaidi mpaka kieleweke.

Wale wahafidhina ndani ya CCM wanaoongozwa na genge la maafisa usalama na makada wakongwe kama kina Mkuchika, Wasirra, Bulembo, Luhavi, Othman aliyerudishwa Ikulu hata baada ya kustaafu TISS na wanamtandao wengine wakijifanya kukaza na kuanza kuua watanzania kama ilivyo kawaida yao, ili kulazimisha uchaguzi mkuu nakwambia kipindi hiki wao ndiyo watakuwa wa kwanza kugeuzwa mfano.

Uzuri Tanzania tunafahamiana vizuri, kiasi cha kwamba maamuzi yakifanyika Ikulu huwa tunajua nani aliyeratibu. Sasa watanzania wale wa 70's hawapo tena, watanzania wengi siku hizi ni wale vijana waliozaliwa 1990-2005, ambao hawamjui hata Nyerere na wala hawajali hata kidogo, unadhani, these old dinosaurs from previous century like Mkuchika, Wasirra, Bulembo, Luhavi, Othman and Kikwete can just decide their fates at whim ?

You've lost touch with reality, and have an elitist mindset. We could have seen you more prudent If at all you made stern rebuke when CCM+TISS+Police were busy murdering innocent Tanzanians.

CCM tumewaacha wametuibia na kutudhulumu, lakini sasa wanakuja kuanza kutuaa tu kama wanavyojitakia kana kwamba sisi ni nguruwe pori kwenye shamba. Hilo halitawezekana hata mpige ramli zote.​
 
Kwa nini sasa hivi kuna democrasia au kuna maigizo haiwezi watu watumie rasilimali za nchi kwa uchaguzi wa maigizo bora moja jeshi

A demo
Wewe kwa picha yako hiyo inadhihirisha ninachosema kuwa CCM ndiyo wanaweza kuwa wanapush wazo la jeshi kuingilia kati kama wanaona raia hawaeleweki.
 
We una uhakika gani kama hauko hiyo miaka 30?kama mpk sas hiv tunachimbiwa choo na kina sijui marie stoppe tuna utofaut gan wa kuishi miaka hyo unayosema na sasa hivi?
Ni kweli maendeleo hayaridhishi na changamoto ni nyingi ila mimi specifically nilikuwa naongelea kurudi nyuma kisiasa. Ndiyo kuna dhulma na mambo mengi ya hovyo yanayoendelea katika nyanja ya kisiasa ila ukitaka kurudi miaka 30 nyuma it's just that, umerudi nyuma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…