Matamanio yangu Jeshi wachukue nchi na vyama vyooote vya siasa vifutwe na kuandikishwa upya baada ya miaka mitano ndiyo ufanyike uchaguzi kwenye uwanja sawa wa kisiasa. Wahuni wote wafungwe na kufilisiwa mali walizofisadi.Jeshi aliwezi chukua ikitokea ni transition period na wakirudisha madaraka kwa raia, hapo kutakuwa na siasa halisi za upinzani.
Mmoja wa waanzilishi wa Marekani na mapambano yao ya uhuru unayoyatamka mara kwa mara, Benjamin Franklin aliwahi kusema: "Those who would give up essential Liberty, to purchase a little temporary Safety, deserve neither Liberty nor Safety." Tafakari!
Nadhani umenisoma vibaya kudhani nasapoti hali ya nchi inavyoendelea.
Ninachoona mimi ni kwamba kina Gwajima, Polepole na Mpina ni "distractors" waliotengenezwa ili kuwatoa kwenye real issues na real voices na watatumika hapo mbele kuwagawa. Speaking of Gwajima, mbona kama sijamsikia kwa muda?
Sijasema mimi ni mwamuzi wenu wala sijawaamuru lolote. Ni maoni yangu tu.
Ukweli mtupu huu mkuuWanatamani lakini haitatokea , hata wewe huwezi kujitoa kwa hawa wa Tz ambao hawana tofauti na nyumbu, siku ukijitoa kwaajili yao mambo yakiharibika wao watakuacha mwenyewe, walimuacha mbowe peke yake kwenye maandamano akajikuta yuko barabarani yeye na binti yake tu, wameiacha familia ya mdude , soka na wengine waliopotea kwenye harakati za kupinga serekali wameziacha familia za hao watu peke yao.
Wamemuacha Lissu anatoboa miezi 6 mahabusu hata kuandamama kwaajili yake wanaogopa, sasa ndo mtu a take risk kupindua serekali kwaajili ya hawa nyumbu ambao mambo yakiharibika wanakuacha peke yako kazi kukata viuno tiktok !
Hilo halitatokea.
Japokuwa Lissu anafanya kazi kubwa ya ukombozi lkn watanzania hawajawahi kumwona Lissu kama shujaa/mkombozi wao.Wanatamani lakini haitatokea , hata wewe huwezi kujitoa kwa hawa wa Tz ambao hawana tofauti na nyumbu, siku ukijitoa kwaajili yao mambo yakiharibika wao watakuacha mwenyewe, walimuacha mbowe peke yake kwenye maandamano akajikuta yuko barabarani yeye na binti yake tu, wameiacha familia ya mdude , soka na wengine waliopotea kwenye harakati za kupinga serekali wameziacha familia za hao watu peke yao.
Wamemuacha Lissu anatoboa miezi 6 mahabusu hata kuandamama kwaajili yake wanaogopa, sasa ndo mtu a take risk kupindua serekali kwaajili ya hawa nyumbu ambao mambo yakiharibika wanakuacha peke yako kazi kukata viuno tiktok !
Hilo halitatokea.
Hilo lilishindikana kitambo, au wewe hujaona policcm wanavyowafanya raia?Majeshi yote yatimize majukumu yao ya kulinda raia na mali zao pamoja na mipaka ya nchi bila kuingilia mivutano ya kisiasa.
Viapo wanamtii Mwananchi anayetaka haki na mifumo bora ya uchaguzi au Amri Jeshi Mkuu asiyetaka haki?CCM inaweza kuondoka vizuri tu kwa mashinikizo ya kisiasa. Hao wanajeshi wangesisitizwa wabaki makambini watimize viapo vyao kwa ukamilifu, siasa wawaachie wananchi, wanasiasa na vyombo vya kisiasa.
Kiapo hakimaanishi kutii amri isiyo halali. Wanaweza kutii viapo bila kusapoti udhalimu wala kuingia moja kwa moja kwenye siasa. Wanaweza kutii viapi vyao kwa kuwachukulia hatua viongozi wanaokiuka katiba ya nchi na kuhatalisha ustawi na mustakabali wa taifa lakini bila kuingia moja kwa moja katika siasa au uongozi wa nchi.Viapo wanamtii Mwananchi anayetaka haki na mifumo bora ya uchaguzi au Amri Jeshi Mkuu asiyetaka haki?
Kama walikula kiapo mbele ya Amri Jeshi Mkuu, na wewe unasisitiza waishi kulinda viapo vyao, hayo mabadiliko unayoyatamani YASAHAU.
kapambane na ccm, jeshi likichukua nchi ndo sahau swala la kupiga kura, kwa kifupii ni mtu mmoja maisha yote, we kama unataka kua raisi ingia ccm lasivo acha tuendelee kula ngomaMjinga wee ,ndezi, na mpuuzi mkubwa.
Angela Kiziga mkubwa wee.
Unadhan hata Wananchi tukiandamana na kuchukua Nchi, nani atawasaidia Wananchi kuleta Utulivu.
ndo inakua ishatoka hio 😂Wanajeshi wakishika nchi kuondoka mtasubiri sana.
Sijazuia mtu kutoa maoni yake, nimekosoa maoni hayo.Kama ni maoni yako binafsi, basi acha kuita watanzania wajinga-hawajitambui kwasababu hawakubaliani na wewe.
You speak about protecting Liberty, yet you limit others people freedom of conscious. How Ironic....
Wewe ndiyo ambaye umekuwa unapigia chapuo mapinduzi ya Marekani. Nimetaka tu kukuonyesha kuwa si kila mapinduzi yako perfect au yana sababu ambazo unaweza kulinganisha na mustakabali wa Tanzania ya sasa.Unless you have an intellectual amnesia, you'd think that the Statements of American Founding Fathers who owned million of slaves carried any moral or rational weight.
In America, Liberty and Freedom were virtues reserved only for the few, White-Protestant-Males. Blacks , Catholics and Women were relegated to a position of cattle and chattel.
What are you talking about ?
Hapo utakuwa umeiokoa CCM pakubwa saaana. Watajipanga upya na kurudi kivingine huku wakiepuka njia zote za kuwawajibisha kwa waliyofanya.Matamanio yangu Jeshi wachukue nchi na vyama vyooote vya siasa vifutwe na kuandikishwa upya baada ya miaka mitano ndiyo ufanyike uchaguzi kwenye uwanja sawa wa kisiasa. Wahuni wote wafungwe na kufilisiwa mali walizofisadi.
Waandamizi wote wa CCM watakuwa jela na mali zao zitakuwa zimefilisiwa na uandikishaji wa vyama vipya utasimamiwa na Jeshi.Hapo utakuwa umeiokoa CCM pakubwa saaana. Watajipanga upya na kurudi kivingine huku wakiepuka njia zote za kuwawajibisha kwa waliyofanya.
CCM ili ipotee mazima inabidi ishindwe katika sanduku la kura na ikataliwe na wananchi kwa njia hiyo. CCM haijawa designed kuwa wapinzani. Hawataweza kudumu katika hali hiyo hasa kama mifumo ya kiutawala, kisheria na kiuchaguzi ikibadilishwa.
Kinasharia ipo hivyo ila kivitendo ni ngumu na ni process ndefu. Tunaweza kujikuta tunapitia vipindi hata vya miaka 20 vya jeshi kuchukua nchi na muda mfupi kurudi kwa raia halafu tena jeshi linachukua tena.Jeshi aliwezi chukua nchi ikitokea ni transition period na wakirudisha madaraka kwa raia, hapo kutakuwa na siasa halisi za upinzani.