Mnaotamani kuoa mwanamke wa Kikenya mje mjionee

Mnaotamani kuoa mwanamke wa Kikenya mje mjionee

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,746
Hilarious!!. Jamaa anachezea kichapo Live hadharani toka kwa mwanamke aliyezaa naye.:becky:
 
Last edited by a moderator:
Duhhhhh poleni wanaume wa Kenya.
Ndio maana wengi wanatafuta Wake nje ya Kenya.
( kwa wale ambao kiswahili ni kigumu nimesema wengi sikusema wote)
 
Kwanini mkeo akuchape? Umeoa baunsa? Haaa! Mke wangu mimi mwenyewe aaaah, sijui huko kwa Uhuruto
 
Wa Tanzanians mnapenda kujihugulisha sana na mambo ya Kenya. Jipeni shughuli. Btw kama TV ni Tsh. 500,000, gari ni Tsh. 10 billion?

Imarisheni uchumi kwanza kabla ya kupayuka.
 
Wa Tanzanians mnapenda kujihugulisha sana na mambo ya Kenya. Jipeni shughuli. Btw kama TV ni Tsh. 500,000, gari ni Tsh. 10 billion?

Imarisheni uchumi kwanza kabla ya kupayuka.

Pole, naona imekugusa sana. Au ndio wewe umepokea kichapo?
 
sasa inamaanisha mwanamke mmoja akichapa mmewe ni wanawake wote wakenya wana tabia iyo.Basi pia mimi ntasema wanawake wote watz wana ndevu maanake nimeona wengi wanazo.
 
Mwanamke atakuchapaje mwanaume rabda uwe mrevi haiwez kutoka kwangu yeye ndo nitampa kichapo
 
Wa Tanzanians mnapenda kujihugulisha sana na mambo ya Kenya. Jipeni shughuli. Btw kama TV ni Tsh. 500,000, gari ni Tsh. 10 billion?

Imarisheni uchumi kwanza kabla ya kupayuka.
Uko nje ya mada kaka..
Uchumi inauhusiano gani na kichapo mnachopewa wanaume wa kenya na wake zenu? Mje uku tuwafundishe jinsi ya kukabiliana na wanawake huko...
 
Back
Top Bottom