Mnaotamani VAR ije haraka jiandaeni na maumivu

Mnaotamani VAR ije haraka jiandaeni na maumivu

mahindi hayaoti mjini

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
2,120
Reaction score
2,709
Hii bila shaka ipo kwa maslahi ya watu flani, sie wengine tunafata mkumbo tu,

Ni kweli ina faida yake ila hasara yake ni kubwa sana, imagine unakataliwa goli la halali kabisa ambalo pengine lingewaokoa msishuke daraja

Nashauri tuangalie tena na tena uamuzi huu
inbound584087058024219488.jpg
 
Ebu ielezee iyo picha. Clearly iyo ni Offside.
 
Ebu ielezee iyo picha. Clearly iyo ni Offside.
Mpira umepelekwa kwa salah ambaye yuko kulia kabisa kwa mtoaji pasi, huku beki anaemuangalia akirudi golini kwake na kuua offside kabisaaa, baada ya kupokea akaingia hatua moja kati na kufunga

Sasa kama hiyo ni offside basi wahusika wafute udhi tafazali
 
Back
Top Bottom