Iamwhoiamm
JF-Expert Member
- Oct 18, 2022
- 503
- 887
Humu jamiiforums jamani Kuna watu hawapo serious kabisa yaani haiwezekani mtu uweke post ya ajira kwamba unahitaji mtu wa fani Fulani unaweka namba yako ukipgiwa hupokei au unakata au ukipokea unasema nitakupigia badaye sijui nini, blah blah nyingi.
Kwahiyo naomba mnatangaza nafasi za ajira mkitoa namba zenu msisite kupokea Kwa sababu huo unakuwa ni utoto.
Kwahiyo naomba mnatangaza nafasi za ajira mkitoa namba zenu msisite kupokea Kwa sababu huo unakuwa ni utoto.