Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Ndio hivyo tena hii ni 2025 ....
Napikiwa na naandaliwa na maji ya kuoga, kila mwaka napiga hatua moja mbele japo ndio hivyo kibishi sana alhamdulilah.
Nyie endeleeni kutusagia kunguni, endeleeni kutukandia kila mnapotuona tukija na bahasha zetu kwenye hizo ofisi za ndugu zenu au jamaa zenu
Wakenya wana msemo wao "Mungu sio kamau"
Riziki ya mtu hukadiriwa na Mungu tu sisi wengine tutabaki kuwa watazamaji