Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unataka kuelekezwa namna ya kuzipata download CLASSIC KEYBOARD natumia Samsung na emoji zipo kama kawa ila ukitumia Samsung default keyboards sahau kuzionaHizo wanaziona wanaotumia techno,infinix,itel mkuu.
Hapana hua situmia hizo alama za wakina dada/mama/mabinti zina wenyewe hizo.Naona unataka kuelekezwa namna ya kuzipata download CLASSIC KEYBOARD natumia Samsung na emoji zipo kama kawa ila ukitumia Samsung default keyboards sahau kuziona
maana,........... ni swala la uelewa na ufahamu wako tu ni kama KATUNI unatafsiri mwenyewe
Asante kwa maelezo mkuuHizo ni emoji.
Mara nyingi ukitumia App ya jf ndiyo unaziona. Yaani mfano mtu kakoment emoji ya kamdoli kamegeuza macho wewe huku ndiyo unaona rolleyes:rolleyes.
Kuna mdau kasema watumia tecno ndiyo wataona hivyo. Sipo sure coz humu naingia na simu mbalimbali na zote zinaona hayo maneno. Ambacho nimehisi ni kwamba anayekua kakomenti emoji anakua ametumia browser na siyo app.
Ndiyo maana hata wewe ukiingilia kwa browser utaziona emoji zote na siyo maneno. Hata baadhi ya reactions kwenye app hauoni.
😀😀😀😀😀😀 hayaHapana hua situmia hizo alama za wakina dada/mama/mabinti zina wenyewe hizo.
kwanza hapa unatumia pc na emoj zake mbaya so ni WIVU TU😎Wakuu,
Kuuliza si ujinga. Kuna wana JF huwa wanatumia alama zifuatazo kwenye comments zao ila hua sielewi maana yake, naomba mnisaidie
1.rolleys:rolleys:rolleys
2.😀😀😀😀
3.😛😛😛
4.Cool:Cool:Cool
Nikikumbuka zingine nitaongezea
Ahsante.
Sawa chief.😀😀😀😀😀😀 haya
Huenda ikawa kweli sababu Kiduku Lilo hajawahi tumia hizo emojisHizo wanaziona wanaotumia techno,infinix,itel mkuu.
HahahHuenda ikawa kweli sababu Kiduku Lilo hajawahi tumia hizo emojis