Mnaotumia mikono ya kulia mjitafakari sana, nimegundua kitu...


Daaaah kwaiy kwa sababu ndogo kama iyo2 unataka watu waanze kuchonga matunda kwa mkono wa kushoto au?
 
Mimi natumia mikono yote huu Uzi haunihusu bora nicheke tu.
 
Kumbuka kama anatumia kushoto kukata toilet anatumia kulia,this is vice versa is true
 
Nyie mnaotumia mkono wa kushoto huwa mnachambia mkono upi?

Ndio maana wajumbe wamekukata kura za maoni...

Mleta uzi anataka kutuvuruga tu. Analeta habari za mkono wa kulia na kushoto tena kwenye matunda pekee anasahau mambo yote yanayohusu mikono kanuni ni ile ile.

Cha msingi ni kusisitiza usafi
 
Labda walitumia kibomba? kuna mtu alosema kuna vibomba hushiki nya
 
Ndio maana wajumbe wamekukata kura za maoni...

Mleta uzi anataka kutuvuruga tu. Analeta habari za mkono wa kulia na kushoto tena kwenye matunda pekee anasahau mambo yote yanayohusu mikono kanuni ni ile ile.

Cha msingi ni kusisitiza usafi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wajumbe sio watu wazuri kabisa.

Huyu mtoa mada anatuvuruga tu.
 
Akiwa left, kuchamba anatumia right hand![emoji16][emoji16], Cha kufanya hakikisha anavaa gloves! Na nyumbani vipi, wife anatumia mkono gani? Au hakuchongei matunda, kupaka siagi, nk, au nnya yake haina shida.
 
Write your reply...kila mkono una majukumu yake muhimu. Tafakari wakati wa kukojoa mwanaume huwa unafungua zipu na kutoa dushe kwa mkono upi? Ukishamaliza kukojoa unapokung'uta hilo dushe masalia ya mikojo huwa yanarukia mkono upi?
 
kwenye maisha ili uishi kwa Amani kuna baadhi ya vitu hutakiwi kuvifikiria sana.
Ishi kwa imani
 
subiri kwa dose package yako uandikiwe matunda 2 Γ— 3, kwa hiari yako utakuja umtafute huyo mchonga matunda left handed
 
Kiufupi watu wa Afya ya umma hawatimizi wajibu wao,wale watu wa matunda wanatakiwa wavae vifungashio ndio wamenye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…