Mnaotumia Smartphone za ku-fold au ku-flip, ni kweli mnahitaji hizo models au mlibebwa na trend?

Mnaotumia Smartphone za ku-fold au ku-flip, ni kweli mnahitaji hizo models au mlibebwa na trend?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wakuu.

Sahivi naona kila kampuni la simu either lina models za ku-flip au ku-fold na kama hazipo sokoni basi wapo mbioni kutoa. Ni trend inayofanya vizuri.
images (6).jpeg

Sasa hivi hadi makampuni ambayo uwa yanachukuliwa "poa" wametoa flip na fold.
images (7).jpeg

Sasa kwa jinsi vidude vilivokua na bei kubwa, risk na kuharibika ilivyokubwa, gharama ya kubadiriaha kioo nk, mnaonunua uwa mnapendea nini? Fashion, trend au practicability?
 
Foldable phones naona zina advantage zake ambazo watu wamevutiwa unlike trend nyingine ambazo ni so useless
Imagine kuwa na device moja unayoitumia kama simu au tablet at the same time na kitu kizuri ni kwamba inaweza kukaa mfukoni mwako. Great for multitasking na ni kama extended version of a normal smartphone.
Foldable phones zina mwonekano mzuri na hizo za ku flip zinasaidia wapenzi wa simu kubwa ila wanataka something very portable. Simu unaikunja inakua 4 inches unaiweka mfukoni, halafu ukiitoa kwa matumizi unaikunjua inakuwa 8 inches. So insane
Kwa wapenzi wa selfie foldable (Fold na Flip) ni nzuri kwa sababu unaweza kutumia kamera ya nyuma kupiga selfie na kurekodi selfie video. Kamera za nyuma kwenye simu expensive siku zote ni high end kuliko kamera yoyote ya mbele. Kuwa na foldable kunakusaidia utumie kwa selfie
Kwenye social media, Instagram, YouTube nk ni furaha iliyoje kuscroll kwenye screen kubwa. Kucheza games pia kwenye screen kubwa ni amazing.

Kwa upande wangu naona hizo foldable ni very useful ingawa sijawahi kutumia ila nimekutana na comments nyingi Quora na Reddit kutoka kwa watu wanaodai hawawezi kutumia simu za kawaida tena baada ya kuhamia kwenye foldable phones

Sure kwa baadhi ya watu wanaona kama sio kitu cha maana kwao ila wengi wanaotumia hizo simu wana positive views about them. Na sikuhizi wanazidi kuziboresha zipo nyingi hata ukizifunga zinakuwa nyembamba kama tu simu za kawaida.
Foldable ni kitu kizuri. Samsung walipoanzisha hizi simu walifanya kitu cha maana sana. Wame inspire kampuni nyingi mno
 
Kuna mtu amenunua ya kwake, samsung mwezi wa 10 mwishoni, mwezi wa 11 mwishoni, akaidondosha, kioo kikapasuka.

Ameambiwa kuirekebisha/kubadili kioo ni tsh 1,500,000 au aiuze hivyo hivyo kwa tsh 250,000

Ukiongozea pesa kidogo kutoka kwenye gharama za matengenezo, unanunua simu nyingine mpya.
 
Duh
Kuna mtu amenunua ya kwake, samsung mwezi wa 10 mwishoni, mwezi wa 11 mwishoni, akaidondosha, kioo kikapasuka.

Ameambiwa kuirekebisha/kubadili kioo ni tsh 1,500,000 au aiuze hivyo hivyo kwa tsh 250,000

Ukiongozea pesa kidogo kutoka kwenye gharama za matengenezo, unanunua simu nyingine mpya.
 
Kuna chali wangu alichukua samsung flip 6 nimemuuliza vipi ni nzuri
Akanionyesha crack pale panapojikunja kuna mpasuko
Sasa hapo naona kuna tatizo kubwa ila inafanya kazi sijui baadae
 
Back
Top Bottom