Kuna mtu amenunua ya kwake, samsung mwezi wa 10 mwishoni, mwezi wa 11 mwishoni, akaidondosha, kioo kikapasuka.
Ameambiwa kuirekebisha/kubadili kioo ni tsh 1,500,000 au aiuze hivyo hivyo kwa tsh 250,000
Ukiongozea pesa kidogo kutoka kwenye gharama za matengenezo, unanunua simu nyingine mpya.