Mnaotumia TTCL fiber mlifanyaje kuunganishiwa?

TTCL kama ni akili kubwa basi leo wao ndio wangekuwa wanagawa na kuwauzia Line hizo kampuni zingine
Yaani hata wilayani wamekuja kwa mbwembwe mpaka wakafungua na ofisi yao zaidi ya iliyokuwepo na kusema jiandikisheni lakini mpaka leo ni mwaka wa pili hata kipeperushi hakuna
Waongo sana hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…