Mnaotumia vidonge vya dharura vya Uzazi wa Mpango tambueni kuwa havina uwezo wa kutoa mimba

News Tz1

Member
Joined
Nov 28, 2025
Posts
82
Reaction score
110
Kuna dhana kuwa baadhi ya vidonge vya dharura ambavyo vinatumiwa na watu kupanga masuala ya Uzazi wa Mpango mfano P2 na vingine, wapo Watu wanadhani vinatumika pia kutoa mimba, hiyo dhana ni potofu.

Jiongeze na utambue matumizi sahihi ya dawa kwa mujibu wa Wataalam wa Afya na usijichukulie hatua kuhusu afya yako kama huna uhakika na unachokifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…