sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Naskia nayo right click ina muonekano tofauti ?Mi kilochonikela kama walibadilisha, drag and drop ilikua haina at the moment, nkaona ufala huu.
Mpaka nisha sahau mkuu, kipindi imetoka mwezi huo huo nili ipata, nkatumia ka mwezi hivi, nkatemana nayo, af mi hutumia windows lite version, na at the moment skupata lite version yake, so sjawai irudia tena na sintarudi.Naskia nayo right click ina muonekano tofauti ?
ongezea nyama kwennye maelezoTumia ni nzuri
Mkuu, ukisha-install utahitaji ku-install na driver pack?.Siku hizi imefanyiwa marekebisho imekaa poa sana, nlijaribu kuweka kwenye PC ya Duo Core 2 ya ACER TravelMate5730 na ikapiga kazi fresh mpaka sasa na haina uzito kama zamani, ila kuna vitu vipo kama windows 10 japo kwenye system settings ndo kuna vikorokoro vimeongezeka ya ku customize kwa ufupi iko vizuri ukiizoea..
NB: Nilidownload Official ISO kutoka MS kabisa ndo nikatengeneza bootable nikainstall kwenye hako ka PC, sio WIN-11 cracked ni official ndo nmexperience iko poa hata kwa low end PC..
Driver Pack tena mkuu ya nini! ni kuweka bando au kutafuta unlimited wifi then una update drivers zote kwa windows updates..Mkuu, ukisha-install utahitaji ku-install na driver pack?.
Au siyo! Walio itengeneza ni lecturers et?Nitabaki windows 10 pro hii inatosha
11 windows za first year Hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo safi. Nishazoea Windows 7, kila ukipiga ni lazima usukume na driver pack.Driver Pack tena mkuu ya nini! ni kuweka bando au kutafuta unlimited wifi then una update drivers zote kwa windows updates..