Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
HahahaMnaoiunga mkono CCM mnapotaka kutumia mitandao ya kijamii JF ikiwemo, huwa mnatumia VPN?
Mnawezaje kukiunga mkono chama kinachofanya matendo ya kuzuia wafuasi wake kuwa huru kwenye kutoa maoni na kupata taarifa?
hiyo nonsense ndio nini ndugu mfuata mkumbo?Mnaoiunga mkono CCM mnapotaka kutumia mitandao ya kijamii JF ikiwemo, huwa mnatumia VPN?
Mnawezaje kukiunga mkono chama kinachofanya matendo ya kuzuia wafuasi wake kuwa huru kwenye kutoa maoni na kupata taarifa?
ndio nini hiyo ndugu mfuata mkumbo?
Ulizaneni kwanza Kwanini CHADEMA na wafuasi wake mmejaa matusi midomoni mwenu utafikiri vichaa au wendawazimu
HapanaKaka na ww unatumia VPN? π
unalombwa weweUlizaneni kwanza Kwanini CHADEMA na wafuasi wake mmejaa matusi midomoni mwenu utafikiri vichaa au wendawazimu
Mbona hata samia ni mtukanaji mzuri tu.Ulizaneni kwanza Kwanini CHADEMA na wafuasi wake mmejaa matusi midomoni mwenu utafikiri vichaa au wendawazimu
Upo Tanzania?Hapana
Zezeta la Samuya katika ubora wako.Hapana
Zezeta la Samuya katika ubora wako.View attachment 3581908
Nilivyoona tu uzi nikacheka kimya kimya kisha nikakukumbuka.hiyo nonsense ndio nini ndugu mfuata mkumbo?
Kawaida wao wakifika getini kwao sharti kuuacha ubongo kwenye kabati getini,kwani ukivuka hapo utaendakuwasumbua!Mnaoiunga mkono CCM mnapotaka kutumia mitandao ya kijamii JF ikiwemo, huwa mnatumia VPN?
Mnawezaje kukiunga mkono chama kinachofanya matendo ya kuzuia wafuasi wake kuwa huru kwenye kutoa maoni na kupata taarifa?
Uwe na adabu dogoZezeta la Samuya katika ubora wako.View attachment 3581908
Mimi sio mdogo wako wewe nyang'au.Uwe na adabu dogo
Huyo ni zaidi ya zezeta anafikiri watu hawaoni profile yake inasomajeZezeta la Samuya katika ubora wako.View attachment 3581908