Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Hii ni kwa wengi wenu na sio wote.
Je kuna sababu gani ya kitaalam ya kufanya hivo?
Maana unaiona bidhaa unakuta umeipenda ila bei sasa hamuoni, mwingine anakuambia hadi umpige simu kuulizia bei!.
Tatizo nini hasa?
Hamuoni kama kuna customers mnawapoteza kwa kutoweka bei?