Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 487
- 1,287
Jamaa kaenda duka au kibanda x kununua bidhaa kadhaa, kesho yake mke wake kaenda kibanda au duka hilo hilo kununua bidhaa kama alizonunua mume wake jana
Kwa nini muuza duka umwambie mke wa jamaa kuwa"Mbona mume wako alinunua hizi bidhaa jana hapa dukani zimeishaje? Mwanamama anaanza kuhamaki "Hizo bidhaa zilipelekwa wapi na kuanza migogoro
Ushauri kwa wauzaji wa bidhaa kuweni na siri haina haja kumwambia kuwa mbona bidhaa fulani ilinunuliwa hapa jana na mke au mume kazi yako ni kuuza tu " Hayakuhusu
Mnavunja ndoa za watu