Mnaouza madukani au vibandani kuweni na siri

Nyamesocho

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2023
Posts
487
Reaction score
1,287
Jamaa kaenda duka au kibanda x kununua bidhaa kadhaa, kesho yake mke wake kaenda kibanda au duka hilo hilo kununua bidhaa kama alizonunua mume wake jana

Kwa nini muuza duka umwambie mke wa jamaa kuwa"Mbona mume wako alinunua hizi bidhaa jana hapa dukani zimeishaje? Mwanamama anaanza kuhamaki "Hizo bidhaa zilipelekwa wapi na kuanza migogoro

Ushauri kwa wauzaji wa bidhaa kuweni na siri haina haja kumwambia kuwa mbona bidhaa fulani ilinunuliwa hapa jana na mke au mume kazi yako ni kuuza tu " Hayakuhusu

Mnavunja ndoa za watu
 
Jamaa kaenda duka au kibanda x kununua bidhaa kadhaa, kesho yake mke wake kaenda kibanda au duka hilo hilo kununua bidhaa kama alizonunua mume wake jana

Kwa nini muuza duka umwambie mke wa jamaa kuwa"Mbona mume wako alinunua hizi bidhaa jana hapa dukani zimeishaje?
Mwanamama anaanza kutahamaki "Hizo bidhaa zilipelekwa wapi na kuanza migogoro

Ushauri kwa wauzaji wa bidhaa kuweni na siri haina haja kumwambia kuwa mbona bidhaa fulani ilinunuliwa hapa jana na mke au mume kazi yako ni kuuza tu " Hayakuhusu

Mnavunja ndoa za watu
 
Ndo maana mimi naenda supermarket kuhemea sio viduka vya magi hawana siri, siku ukinunua protector ngao anawambia wote mpaka mkeo apate hio habari.
Kweli mkuu
 
Vyanzo vya taarifa ni Hao wa vibanda vya mtaani kwako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…