Tengeneza Tangazo Lipia Add uitangaze Instagram na Facebook utapata potential customers japo Carrier yenu iko matatani AI inafanya sana kazi zenu kama soko la Logo naona limeisha kabisa
Yeah unaweka prompt tuu inakujaHivi AI anaweza tengeneza website from scratch?
Duh kwa mantiki hiyo watu hatutalipiq tena kutengenezewa websitesYeah unaweka prompt tuu inakuja
Unaweka website ya nini unajaza namba yako Email address kama una website unaweka Rangi unataka iwe na rangi gani utaziweka hapo Easy tuu