Mnapowaita wachezaji wa Taifa Stars Kilimanjaro Stars na Zanzibar Mashujaa, Wana ushujaa gani?

Mnapowaita wachezaji wa Taifa Stars Kilimanjaro Stars na Zanzibar Mashujaa, Wana ushujaa gani?

mandokwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
620
Reaction score
865

Hello Wakuu, naomba mnieleweshe kigezo gani mnatumia kumuita amacha shujaa? anafungwa bao saba, kwa miaka hajafahi kufuzu hata shindano moja la maana bado mnawaita mashujaa.... ??? hamjitambui au hamuwatambui wanaofaa kuitwa mashujaa???

:angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry:
 
Hahahah taifa stars ni pasua kichwa. Maximo aliamsha hali ya timu ya taifa na alipoondoka aliondoka nayo.
 
Weka picha ya mtu akiwaita taifa stars shujaa
 
Hata Askari akifa vitani anaitwa shujaa.
 
Mtoa mada unachanganya habari Taifa starz ni timu ya jumla nchi nzima tanzania bara na tanzania visiwani,na yanapotokea mashindano ya cecafa tanzania bara inateuwa timu yake ambayo inaitwa kilimanjaro starz na tanzania visiwani inateuwa timu yao inaitwa zanzibar heroes,waliofungwa saba ni Taifa starz,kama hufutilii michezo huna haja kupotosha potosha vitu
 
Back
Top Bottom