GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
......atunze mdomo wake!
hivi unazungumzia mnara wa simu kweli au haji manara?Minara ya Simu kutoka Afrika Kusini ndiyo huwa Imara sana.
Na ikitumika hapa ndani Spidi yake huwa ni ya Wastani, ila ikitumika Kwao Afrika Kusini hasa Mji wa Pretoria ndiyo huwa ina nguvu maradufu na haijawahi kushindwa kufanya Kazi ikiwa huko
π€π€π€π€π€hivi unazungumzia mnara wa simu kweli au haji manara?
Simba 1~0 Ahly
Mazembe 0~0 Petro
Yanga 0~ 0 Mamelod
Esparance 0~0 Asec
huu ni uonevu na fedheha ya kiwango cha juu mno katika kipindi hiki cha Pasaka, kwa soka la Tanzania, kwenye sura ya Africa na Dunia nzima π
mnara au haji manara yuko wap hapo kwa mfano π
Maji yameanza kujitenga na mafuta mapema sana.hivi unazungumzia mnara wa simu kweli au haji manara?
Simba 1~0 Ahly
Mazembe 0~0 Petro
Yanga 0~ 0 Mamelod
Esparance 0~0 Asec
huu ni uonevu na fedheha ya kiwango cha juu mno katika kipindi hiki cha Pasaka, kwa soka la Tanzania, kwenye sura ya Africa na Dunia nzima π
mnara au haji manara yuko wap hapo kwa mfano π
iwe ni fursa ya kujipanga vizur zaid na kujizatiti kupindua meza ππ€π€π€π€π€
Haya matokeo yanafikirisha sana
Vp mkuu Kilimba tzπ€π€π€π€π€
Haya matokeo yanafikirisha sana
Ukiona hivyo basi ujue na dishi nalo kichwani limeshayumba.Popoma umetugeuka tena
kwanini watu mliokazwa na GENTAMYCINE akiwaacha huwa mnamchukia mno?
Japo ni sikukuu ila utanisamehe, popoma hana haki kula sikukuu kwa amani na furaha.Minara ya Simu kutoka Afrika Kusini ndiyo huwa Imara sana.
Na ikitumika hapa ndani Spidi yake huwa ni ya Wastani, ila ikitumika Kwao Afrika Kusini hasa Mji wa Pretoria ndiyo huwa ina nguvu maradufu na haijawahi kushindwa kufanya Kazi ikiwa huko
NINGEKUWA SINA AKILI UNGEKUWA UNANIMANULIA KILA MARA ILI NIKUCHAPE NAO?