Mnasemaje hali ngumu wakati Uwanja wa Taifa unajaa mechi ya Simba?

Simba na Yanga zina wapenzi si chini ya 10m Tanzania nzima, hivyo kusema 2% tu ndio wanaoshabikia mpira si kweli.
 
Jamaa akili yake sijui ikoje, badala ya kulinganisha Simba vs AS vita 2012 na Simba vs AS vita 2019 yeye analinganisha na yanga
Unaweza kutupatia hiyo picha ya Simba vs AS vita 2012 tulinganishe?
 
Simba na Yanga zina wapenzi si chini ya 10m Tanzania nzima, hivyo kusema 2% tu ndio wanaoshabikia mpira si kweli.
Kaka kupenda timu au kushabikia timu sio kufuatilia timu kwa tunashabikia kwa mkumbo (band wogan) mfano bibi yangu kijijini anashabikia Yanga ila hajui ata jina la mchezaji moja wala hajawahi kuudhuria mechi yata moja Yanga maishani mwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kiingilio cha buku 3 ndio unapima hali yetu ya maisha! Any way, kwa hulka ya mwanadamu, kuna vitu anavyovipenda huwa hayuko tayari kutovifanya, anaweza hata kuahirisha mlo wake wa siku ili apate anachokipenda. Wewe hukuwepo duniani enzi wavuta sigara wa Tanzania wakilipia 'pafu ' moja kwa shilingi 3! Hebu jiulize, sigara ina umuhimu gani?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naamini unajua unachokiongea ila umeamua tu kuchangamsha genge.... 2010 vs 2019 = gap la miaka 9, sasa sijui idadi ya watu bado ni ile ile kwa DSM...
Mwaka 2010 uwanja ulikuwa mpya kabisa Tanzania hatukuwahi kuwa na uwanja mzuri kama ule na Brazil wakaja lakini uwanja haukujaa, vipi maoni yako?
 
Mtoa mada vipi? kama kiingilio cha chili ilikuwa ni 5000 kama sikosei kwanini uwanja usijae? Jaribu kutolea mifano ya walevi, kule unakuta mtu kwa siku ametumia laki kwenye ulevi.

Sio bure utakuwa ni Yanga wewe
 
Nimejibu hivyo kupinga kuwa 2% tu ndio wanajua nini kinaendelea kuhusu mpira na sio nani anaingia uwanjani. Kama umesahau umeandika ni 2% tu wanashabikia mpira.
 
Sikatai upenzi, watu wamekuwa wapenzi toka enzi na enzi lakini watu walikuwa hawajai zamani wakati pesa iko leo tunaambiwa hesa imepotea lakini watu wanajaa. Huoni kuna ukinzani?
 
Mkuu mimi niko tayari nisile ila niangalie mpira na kuna mwingine hapendi mpira ila yupo tayari asile ili atimize hamu yake, huwezi kupima kwa Sh 3000 hata asiekuwa na hela lazima angejichanga akaenda uwanjani ni bora angeleta hiyo mada kama kiingilio kilikuwa Laki.
 
Unaweza kutuambia kiingilio kilikuwa kiasi gani 2014?
 
Sikatai upenzi, watu wamekuwa wapenzi toka enzi na enzi lakini watu walikuwa hawajai zamani wakati pesa iko leo tunaambiwa hesa imepotea lakini watu wanajaa. Huoni kuna ukinzani?
Mkuu sasa hivi simba ni wajanja wamepunguza kiingilio ili watu waingine kuishangilia timu yao sio kama zamani, halafu siku zinavyozidi kwenda mashabiki wa Mpira wanaongezeka.
 
Thamani ya shilingi kupanda na kushuka ni jambo la kawaida..hata hivyo mara nyingi thamani ya shilingi hupimwa kwa dola..na thamani ya dola itaendelea tu kupanda kadiri uchumi wa dunia unavyodilika..miaka kadhaa nyuma $/Tsh ilikuwa 1500 tu..mwenye nguvu akikua mdogo atashuka..
Lakini usisahau pia mfumuko wa bei umeongezeka au umepungua..
Kuhusu ajira ni suala mtambuka..kila mtu hawezi kuajiriwa au si kila wanaoajiriwa lazima walipoti..ila kila siku watu wanaajiriwa kuliko wanaoapunguzwa au kuacha kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3000*60000 = 180,000,000 hii ni estimate ya minimum ticket price sijahesabia VIP.

Game ya jana ndio ambayo imejaza uwanja at full capacity. Kweli hakuna muhindi mjinga kwenye hela. Dewji alidai atatoa 150M simba ikishinda. Viingilio tu vime exceed hio pesa hahahah kweli mjini akili nguvu shamba.
 
Kwa post hii ndio mjue 80% ya wana lumumba wamejaa makamasi kichwani badara ya ubongo .
 
Unaweza kutuambia kiingilio kilikuwa kiasi gani 2014?
Mkuu licha ya hivyo kwa sasa hamasa imeongezeka Promotion ndio kila kitu Simba wenyewe wanajitahidi kutoka promo mapema pia wanatoa bei za kiliingilio mapema ili kila mtu ajiandae
 
Mkuu licha ya hivyo kwa sasa hamasa imeongezeka Promotion ndio kila kitu Simba wenyewe wanajitahidi kutoka promo mapema pia wanatoa bei za kiliingilio mapema ili kila mtu ajiandae
Mkuu sasa hivi simba ni wajanja wamepunguza kiingilio ili watu waingine kuishangilia timu yao sio kama zamani, halafu siku zinavyozidi kwenda mashabiki wa Mpira wanaongezeka.
Hivi kuna uhamasishaji mkubwa uliowahi kufanyika zaidi ule wa timu ya Brazil kuja Nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…