Elections 2010 Mnasemaje kuhusu hizi ahadi?

EDOARDO

Senior Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
114
Reaction score
13
Waungwana bila shaka mko poa.
Kadri siku zinavyoyoyoma na kampeni kuendelea, baadhi ya wagombea wanatoa ahadi ambazo ukiziangalia kwa akili ya haraka tu unaona wazi kuwa ni uongo, na hazitekelezeki. Wanaodanganyika na kushangilia ni kwamba wamelogwa au hizo kofia na T-shirt? Naomba maoni yenu wadau.
 
ahadi gani mbona hujaziandika na kusema nani kazitoa wapi na lini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…