Mnashangaa tendo la DJ Brown Skin, mbona Hilo la kawaida Sana

Mnashangaa tendo la DJ Brown Skin, mbona Hilo la kawaida Sana

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2022
Posts
1,576
Reaction score
3,094
Wapenzi wawili waliwaacha wengi kinywa wazi baada ya kupatikana wakilishana uroda katika eneo la makaburini ya umma ya Langata, Nairobi.

Wawili hao waliitandika leso na kuanza kupapasana bila kujali waliokuwa wakipita katika eneo hilo Lilikuwa ni jambo la kuajabia mno huku wapenzi wawili wakipatikana wakifanya tendo la ndoa katika eneo la makaburi ya umma ya Langata, Nairobi.

Kwa mujibu wa gazeti ya Taifa Leo, wawili hao waliitandika leso humo na kuanza kupapasana bila kujali wapita njia.

##HAYA MAMBO KAWAIDA TU
 
Back
Top Bottom