Mnashinda Baa kulewa na kufanya zinaa kwenye malodge mnaogopa magari mazuri na kujaza mafuta. Ubahili wa kizamani umewajaa watu

Mnashinda Baa kulewa na kufanya zinaa kwenye malodge mnaogopa magari mazuri na kujaza mafuta. Ubahili wa kizamani umewajaa watu

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam JF,

Kuna hii kasumba ya Kiafrika na kitanzania watu wanaogopa kununua magari mazuri kisa tu et bei ya spares, spare availability, na ulaji wa mafuta. Ujinga mtupu , wakati matumizi yenu ya kuruka vianja bar na kufanya ngono kwenye guest/lodges ni makubwa kuliko hofu zenu za kijima.

Huwezi kufanya makubwa na kusonga mbele ukiwa na hofu za kishamba.

Nunua gari ukiwa na akili timamu tena uwe rational na logical decisions, stupid mindsets za comparison mentality zita waangamiza.

Panua akili kwenye kila eneo.

Akili zako ndio ramani yako ya maisha.

Shukrani 🙏🙏🙏

Wadiz
 
Mjomba mimi sina gali lakini nakazia hilo swala ama hii mada kuna wanangu nawaona sana lakin katika viwanz wanaluka sana kuliko maelzo lakin unakuta anagali la kaawaida kabisa ambazo bata anazozitimia na hilo gal la kiaina ni saw angenunua gali yenye muonekano mzuli sana na lenye uimala uliobola zaid ya alilonalo
 
Back
Top Bottom