Mnashinda Baa kulewa na kufanya zinaa kwenye malodge mnaogopa magari mazuri na kujaza mafuta. Ubahili wa kizamani umewajaa watu

Mimi ndio wimbo wangu nawachana wana daily if you be happy go for the best or among the best, ni ujinga unatumia bar na mademu lodge laki8 hadi milioni kadhaa unakuwa bahili mafuta ya laki2,3 ni ujinga.
 
Mkuu unalazimisha vipaumbele kwa wenzio, maana hili povu si mchezo............unaongelea watu wamiliki gari kali kana kwamba ni hitaji muhimu kwa maisha ya kila binadamu, punguza ushamba.
 
Mkuu unalazimisha vipaumbele kwa wenzio, maana hili povu si mchezo............unaongelea watu wamiliki gari kali kana kwamba ni hitaji muhimu kwa maisha ya kila binadamu, punguza ushamba.
Umaskini tabu sana nakupa pole sana
 
Una maoni hafifu sanaa,Fikiria kupanda kwa nauli ya mabasi ya watoto wa shule,Bidhaa za mazao ya kilimo.Na huduma mbali mbali.Kaa kimya aisee.
 
Utakuwa na govi wewe sio bure, sio kwa mkurupuko huo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

We unajua cost za kuish town wewe,ukute huna hata familia umaishi kwa shemeji Dodoma huko.Njoo Dar uone wanaume wananvyo pambana na foleni n wese linavyokata.Kwenda kazini na kurudi Mafuta ya 25 we unaleta usegne hapa.
 
Acheni uoga na ushamba eti ooh kama gari wamenunua wachache haifai acheni ushamba, Nairobi Kenya is 50 yrs ahead of foolish tanzanian people
Hao wa kubadili canter kuwa matatu shenzi kabisa Kenya hakuna walichotuzidi pesa yako iko juu ila wanamaisha magumu kuliko mavi yangu
 
Wewe unateseka na nini wakati maisha ni yao? [emoji34]
 
Mkali wa threesome nipo hapa na Sina huo ujinga wenu uoga wa kishamba
Mkuu umepatwa na nini? Hizi stress hizi, sasa unalalamika nini wakati maisha ni yao? Mwingine leo kaandika eti watu wa Dar hawapendi wageni, aliyeandika na wewe wote mko sawa
 
Wewe nenda kajifunze kuandika kiswahili vizuri then ndiyo uje kutoa ushauri humu.
 
Mkuu umepatwa na nini? Hizi stress hizi, sasa unalalamika nini wakati maisha ni yao? Mwingine leo kaandika eti watu wa Dar hawapendi wageni, aliyeandika na wewe wote mko sawa
🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…