You don't know what Mheshimiwa Waziri Mwigulu Nchemba might be going through. Ninapata tabu kuondoa picha kichwani mwangu kwamba anazungukwa na syndicate ya watu selfish, wasiojali maslahi ya umma, forgerers, wasiokuwa na mioyo hata chembe, licha ya utu, kutokana na colusion ya wizi wa mabilioni kwa uchache aliyoyasema waziri Mkuu, wakati huo huo serikali ikijua haina fedha. Mfumo alioukuta pale wizarani, anahitaji kuujifunza a uelewe ili afanye mabadiliko sahihi, vinginevyo ipo kazi.Hizo ndizo akili za Waziri wetu Msomi Mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba ππ
Umeongea vyema mwana wane kweli angalia wa nyumbani kwako hatuna watu paleNimeshafahamu sasa kwamba watu wanapigania kwenda bungeni, kaisi cha kuondoana uhai, wengi wao ni kwa malengo binafsi. Kulinda malahi yao, kuinfluence na kuhakikisha wananufaika na si kutatua wala kulinda maslahi ya taifa ama watu wasiowahusu.
BUNGE=PBC (Private Business Company). Otherwise, hayo mengine ni historia, wewe omba Mungu alinde familia yako wapate mkate wa kula, lakini hakuna wawakilishi wala watetezi wa watu wa kawaida kule.
Aisee!.. Muhindi anakula vichwa balaa
[emoji3]jamaa wapo bize balaaAisee!.. Muhindi anakula vichwa balaa