OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Jun 18, 2021 #1 Super MB3 akitoa hamasa kwa watoto mitaani. Wako wapi wanahabari wetu na wachambuzi uchwara. Hawakuona hili?
Super MB3 akitoa hamasa kwa watoto mitaani. Wako wapi wanahabari wetu na wachambuzi uchwara. Hawakuona hili?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jun 18, 2021 #2 Mabaya huwa na sauti kubwa kuliko mazuri, hapo hawawezi kuonekana kwakuwa hajatoa boko Sent using Jamii Forums mobile app
Mabaya huwa na sauti kubwa kuliko mazuri, hapo hawawezi kuonekana kwakuwa hajatoa boko Sent using Jamii Forums mobile app
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 12,658 Reaction score 16,205 Jun 18, 2021 #3 Mpaka afunge goli zuri ndipo watu fulani wakumbuke kwenda CAS Ni hatari