Miraji kachambua vizuri sana. Sijawahi kumuona Chagamba anahoji watu wengine tofauti na Miraji.Hakunaga mchambuzi mwenye akili media (radio) zoote Tanzania nzima ukimtoa yule wa youtube anaitwa Miraji na Chagamba, channel yao angalau ina uchambu unao make sense
View: https://youtu.be/ZxYDbhihqFI?si=bmzIY394hGKMQnOa
yupo mzee SaidiMiraji kachambua vizuri sana. Sijawahi kumuona Chagamba anahoji watu wengine tofauti na Miraji.
Kuwepo kwa hao wachezaji ndio kumefanya tusiwagundue wachezaji wazuri wa kitanzania na mbona zamani tulikuwa na wachezaji wazuri kushinda hao wa kigeni waliopo sasa.?Najiuliza hili swali kama ni hapana ina maana wachezaji wetu wa ndani hawana vipaji? na viongozi wetu wa mpira kama Eng. Hersi na Mo wanabebwa tu na wachezaji wa kigeni?
Je bila wakina Chama, Ngoma, Diara, Che Malone, Ateba, Pacome, Camara, Aziz Ki, Debra Fernandez na wakina Dube ligi yetu ingetamba kimataifa?
Hiyo zamani tulifanya nini kimataifaKuwepo kwa hao wachezaji ndio kumefanya tusiwagundue wachezaji wazuri wa kitanzania na mbona zamani tulikuwa na wachezaji wazuri kushinda hao wa kigeni waliopo sasa.?
Tuliyafanya hayo tuliofanya kipindi hicho na ambacho kiwango cha mpira kilikuwa cha juu sana ukilinganisha na leo ambapo kiwango kiko chini kabisa.Hiyo zamani tulifanya nini kimataifa
Hujajibu swali langu badoTuliyafanya hayo tuliofanya kipindi hicho na ambacho kiwango cha mpira kilikuwa cha juu sana ukilinganisha na leo ambapo kiwango kiko chini kabisa.
Kiwango cha mpira kimeshuka duniani kote na Afrika ndio kabisa kwani akili ya kila mchezaji inawaza zaidi pesa kuliko kucheza soka.
Enzi hizo kwa ubora wa wachezaji tuliokuwa nao hatukuhitaji kutoa wachezaji nje kuja kuchezea vilabu vyetu.
Siyo watangazaji wato upeo wao wa kuelewa uko juu naomba niishie hapo ili nisichafue hali ya hewaNasikiliza redio moja nashangaa sana wachambuzi wa kuheshimika hawajui madhara ya wanayoongea. Eti wachezaji wa kigeni wapungue. Wapungue waende wapi? Bila wa kigeni leo hii ligi yetu isingekuwa na ubora.
Timu zetu zisingekuwa za ubora. Au mnataka uwanjani waende ndugu zenu.
Katafuteni dawa za mapenzi sio ligi yetu.