englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,208 Nov 19, 2012 #41 Unauliza nini wakati unamajibu ? sisi tuna majibu lakini wewe hutaki kutu uliza maswali.
Jiwe Linaloishi JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 3,736 Reaction score 2,138 Nov 20, 2012 #42 Endangered said: lakini mkuu, ukimtazama vema utaona kuwa mzee wa mnato anazo nywele (tena ras). Sa sijui shida i wapi kwa upande wake. Click to expand... aahhh zitakuwa za wigi siyo zenyewe za kuota utosini, nywele za mawigi huwezi kusema ni nywele
Endangered said: lakini mkuu, ukimtazama vema utaona kuwa mzee wa mnato anazo nywele (tena ras). Sa sijui shida i wapi kwa upande wake. Click to expand... aahhh zitakuwa za wigi siyo zenyewe za kuota utosini, nywele za mawigi huwezi kusema ni nywele
upele JF-Expert Member Joined Mar 3, 2010 Posts 364 Reaction score 31 Nov 20, 2012 #43 alikupakia shabu huyooo sio mnato au wewe mshamba wa k,kama hizo mjini hapa kaka utaibiwa au alikubania miguuu Imekula kwako
alikupakia shabu huyooo sio mnato au wewe mshamba wa k,kama hizo mjini hapa kaka utaibiwa au alikubania miguuu Imekula kwako
M Mwanaweja JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 3,575 Reaction score 526 Nov 21, 2012 #44 wewe ungekuwa karibu ningekunasa kofi ili akili ije maana inaonekana bongo yako haifanyi kazi kabisa. malaya, anajiuza unaingia kichwa kichwa bila hata kinga wewe ni mtu wa aina gani?
wewe ungekuwa karibu ningekunasa kofi ili akili ije maana inaonekana bongo yako haifanyi kazi kabisa. malaya, anajiuza unaingia kichwa kichwa bila hata kinga wewe ni mtu wa aina gani?
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Nov 21, 2012 #45 Imetanuka sana unatakiwa uwe nae halafu upumzike kama mwezi ili irudie hali yake ya zamani.