Mnatumia mbao za aina gani kuezeka nyumba?

Mnatumia mbao za aina gani kuezeka nyumba?

Nunua oil chafu treat uka mwenyewe,
Hizo zinazopakwa rangi ya juicecola mnaibiwa sana
 
Habari za asubuhi wakuu, je mbao zipi ni imara kwa kuezeka kati ya mbao treated na sumu au treated na oil chafu? Na je mnazijuaje mbao treated ambazo hazijachakachuliwa? naombeni majibu, asante
Swali lako liko too general ila nakujibu hapa Mkuu, mbao nzuri za kiwango Cha juu hua zinaitwa mbao za serikali kutoka Iringa au tuseme mbao kutoka Sao hill hilo jina sijui kama Niko sahihi,
Mbao za Sao hill uzuri wake ni kwamba treatment yake inafanywa na machine tofauti na hizi mbao zingine, treatment inafanywa hapo Buguruni,
Pia bei hua tofauti hivyo usiwe na mkono wa birika
 
Back
Top Bottom