Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 2,637
- 8,057
Naweza kuitumia kwenye laundry cleaner business?Ngoja hili niliweke wazi maana members wengi wanaulizia PM kuwa wanashindwa kulipia program kwa Paypal.
Ndugu zangu kufungua account ya Paypal sio lazima uwe na card ya bank unaweza kutengeneza card ya bank ya visa kwa kutumia vodacom visa unatengeneza kwa MPesa chapu hata dk tatu ni nyingi umemaliza Yas(Tigo), Airtel na halotel pia wa hizo huduma unapewa card unaijaza kwenye paypal umemaliza unalipia.
hii program kwa bongo ni kama wengi hawaja stuka ila south africa na nigeria kidogo na kenya naona ndio inatumika zaidi kwa africa
Kwamujibu wa chatgpt inasema hivi "Naweza kuitumia kwenye laundry cleaner business?
Pia kama duka lako ni la jumla na reja reja unaweza kuweka mpangilio mfano kitabu kimoja unauza tsh 10,000 na unaweza kuweka plan ikiwa mteja atanunua idadi kuanzia vitabu kadhaa mfano 10 bei inashuka kwa kiasi flani(discount) pia kwa mkopo unaweza kuweka ikiwa mteja atakopa liba ni kiasi gani(thamani itaongezeka kulingana na mpangilio ulioweka)Mkuu nina stationery nimemuweka wife, anasumbuka katika hesabu. Hii inaweza kupiga hesabu mfano nataka nitengeneze vitabu 100, itapiga hesabu gharama ya material ninayohitaji kununua yote endapo kama ninayafahamu kisha ikanipa na faida nitakayopata?
Nilifikiria kutengeneza Excel ila hii nahisi itamsaidia zaidi, pia si unajua hawa wanapenda vitu smart, kama itafaa nimchukulie hii.
Naomba tuzungumze PM mkuuPia kama duka lako ni la jumla na reja reja unaweza kuweka mpangilio mfano kitabu kimoja unauza tsh 10,000 na unaweza kuweka plan ikiwa mteja atanunua idadi kuanzia vitabu kadhaa mfano 10 bei inashuka kwa kiasi flani(discount) pia kwa mkopo unaweza kuweka ikiwa mteja atakopa liba ni kiasi gani(thamani itaongezeka kulingana na mpangilio ulioweka)
karibu mkuuNaomba tuzungumze PM mkuu
Najaribu kukucheki nashindwa hebu nicheki wewekaribu mkuu
Hutumii daftari?Hauko siriasi
Kwaiyo ww huna akili ya kusimamia na kucontrol biashara yako adi utegemee software ambayo mda wwte inaweza kudukuriwa au kupata virus
Tuache kuibia watu moja ya sifa za biashara ni kufuatiria na kujua biashara yako inakua vp na ni changamoto gan unakumbana nazo na haya yote hufanywa na kichwa chako sio mashine wala software,
Wewe hutumii daftari kupiga hesabu zako?Hauko siriasi
Kwaiyo ww huna akili ya kusimamia na kucontrol biashara yako adi utegemee software ambayo mda wwte inaweza kudukuriwa au kupata virus
Tuache kuibia watu moja ya sifa za biashara ni kufuatiria na kujua biashara yako inakua vp na ni changamoto gan unakumbana nazo na haya yote hufanywa na kichwa chako sio mashine wala software,
Mimi nmetumia nyingi zingine gharama yake ya uendeshaji ipo juu ila kuna mwamba akanisanuaNzuri hii , ntaitafuta
Mkuu hii ni version ya ngapi unaweza kunisaidia link tafadhari
Unataka uhujumu uchumi kijana 🤣Inao uwezo wa kukwepa kodi? Yaani niwe najitengenezea risiti zangu tu, pasipo kuwalipa ma-CCM wakazitumbue na familia zao?
Mkuu hii ni version ya ngapi unaweza kunisaidia link tafadhari