wewe ndiye wa kutokea kuna wakuripa viwalo, manukato na pocketi money, hivyo endeleza libeneke kwa kukwangua mikwaja, au wewe ulimpendea mikwanja ukaiparua ukaanza sasa eti unasumbuliwa, rudisha angalau 40% kama utaachwa
kingine mi nakushauri kua nao wote wawili alafu uangalie nani analipa zaidi ndio uingie naye kingi ok............mana waweza kumsitiri uliye naye kumbe naye naajipumzisha tu hapo kwako bado anasafari ndeeeeeeeeeeefu.........
ZINDUKA MEEEEEEEEEEEEEN
Wewe ndie wakujilaumu kwa kumuendekeza akusumbue. Unajifanya kulalamika tu hapa wakati akipiga simu unaongea nae vizuri na bab's za kufa mtu tena unamchekea chekea wala huoneshi dalili yeyote ya kukereka. Sasa kwanini asikusumbue?? Mi naona nyie wa aina hii huwa mnapenda wenyewe kuzinguliwa!