milele amina JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 6,045 Reaction score 8,080 Sep 3, 2024 #1 Tega sikio msikilize! Your browser is not able to display this video. Mnawaambia vijana hawana ajira wajiajir wakati nyie mmeshindwa kujiajri mmeomba ubunge, wote hapa mmeshindwa kujiarijiri wengine ni Maprofesa mmo humu, mmeomba ajira kwa wananchi ya Ubunge. Pia soma: Viongozi wanavyosema kila siku vijana wajiajiri, kuna hata mmoja kati yao amejiajiri? Nani adui wa vijana katika Kujiajiri. Ni Uthubutu, Serikali, au Malezi na Mazingira? Vijana: Mtafute namna ya kujiajiri
Tega sikio msikilize! Your browser is not able to display this video. Mnawaambia vijana hawana ajira wajiajir wakati nyie mmeshindwa kujiajri mmeomba ubunge, wote hapa mmeshindwa kujiarijiri wengine ni Maprofesa mmo humu, mmeomba ajira kwa wananchi ya Ubunge. Pia soma: Viongozi wanavyosema kila siku vijana wajiajiri, kuna hata mmoja kati yao amejiajiri? Nani adui wa vijana katika Kujiajiri. Ni Uthubutu, Serikali, au Malezi na Mazingira? Vijana: Mtafute namna ya kujiajiri
Jerry001 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 585 Reaction score 1,299 Sep 3, 2024 #2 Mwakani ndio mwaka wao wa usaili. Wabebe vyeti na leseni na kuzitembeza nyumba kwa nyumba majimboni. Hapo patamu hapo
Mwakani ndio mwaka wao wa usaili. Wabebe vyeti na leseni na kuzitembeza nyumba kwa nyumba majimboni. Hapo patamu hapo
G Gusa achia twende kwao JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 248 Reaction score 287 Feb 11, 2025 #3 🤣🤣🤣Yatapita tu,Si kila asemalo mtu lina nia ya kusaidia mtu