Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Taa ya kijani imewaka tu, kuna mtu huko nyuma anaanza kupiga honi hovyohovyo.
Sehemu ambayo anaweza msubiri mwenzake apite, yeye ameshapiga honi.
Kuna cases nyingi nimeziona madereva wanapiga honi bila ya ulazima.
Binafsi naona ni watu waliokosa subira, wengine sidhani hata kama ni madereva sahihi wa kujua matumizi na mipaka ya kupiga honi.
Naudhika sana mtu anavyonipigia honi bila sababu ya msingi.
Wewe unawachukuliaje watu wa aina hiyo?