Na unaweza kuta anaepiga honi yuko gari ya tano nyuma!Taa ya kijani imewaka tu, kuna mtu huko nyuma anaanza kupiga honi hovyohovyo.
Sehemu ambayo anaweza msubiri mwenzake apite, yeye ameshapiga honi.
Kuna cases nyingi nimeziona madereva wanapiga honi bila ya ulazima.
Binafsi naona ni watu waliokosa subira, wengine sidhani hata kama ni madereva sahihi wa kujua matumizi na mipaka ya kupiga honi.
Naudhika sana mtu anavyonipigia honi bila sababu ya msingi.
Wewe unawachukuliaje watu wa aina hiyo?
Wewe umewachukuliaje? Hili nalo unakuja tukusaidie?Taa ya kijani imewaka tu, kuna mtu huko nyuma anaanza kupiga honi hovyohovyo.
Sehemu ambayo anaweza msubiri mwenzake apite, yeye ameshapiga honi.
Kuna cases nyingi nimeziona madereva wanapiga honi bila ya ulazima.
Binafsi naona ni watu waliokosa subira, wengine sidhani hata kama ni madereva sahihi wa kujua matumizi na mipaka ya kupiga honi.
Naudhika sana mtu anavyonipigia honi bila sababu ya msingi.
Wewe unawachukuliaje watu wa aina hiyo?
Kama hujui faida ya honi nenda kafanye utafiti kwenye mwendo kasi DRT walifunga honi za Passo kwenye mabasi ajali ngapi zimetokea kipindi cha honi za Passo na sasa wamefunga honi kubwa ajali ngapi zimetokea toka wafunge?Taa ya kijani imewaka tu, kuna mtu huko nyuma anaanza kupiga honi hovyohovyo.
Sehemu ambayo anaweza msubiri mwenzake apite, yeye ameshapiga honi.
Kuna cases nyingi nimeziona madereva wanapiga honi bila ya ulazima.
Binafsi naona ni watu waliokosa subira, wengine sidhani hata kama ni madereva sahihi wa kujua matumizi na mipaka ya kupiga honi.
Naudhika sana mtu anavyonipigia honi bila sababu ya msingi.
Wewe unawachukuliaje watu wa aina hiyo?
Hawa madereva wa ist hawajui hata matumizi ya taa, wao mda wote wanawasha high beamMadereva wa IST ndiyo waanaongoza
Madereva wa IST ndiyo waanaongoza
Kweli wewe wa stendiMadereva wa BM, dar luxy,super feo ,abood na kidinilo mjirekebishe
Mkuu hawa jamaa wa IST muda wote ni kutunishia misulu na madereva wengine Tu...Mwamba unazichukia IST kishenzi[emoji16][emoji16]
Hawana tofauti na wale wanaowajambisha wenzao.Taa ya kijani imewaka tu, kuna mtu huko nyuma anaanza kupiga honi hovyohovyo.
Sehemu ambayo anaweza msubiri mwenzake apite, yeye ameshapiga honi.
Kuna cases nyingi nimeziona madereva wanapiga honi bila ya ulazima.
Binafsi naona ni watu waliokosa subira, wengine sidhani hata kama ni madereva sahihi wa kujua matumizi na mipaka ya kupiga honi.
Naudhika sana mtu anavyonipigia honi bila sababu ya msingi.
Wewe unawachukuliaje watu wa aina hiyo?
Mkuu hawa jamaa wa IST muda wote ni kutunishia misulu na madereva wengine Tu...
Nimeshuhudia mara kibao IST inatambiana na V8 mpaka nikajiuliza huyu Dereva ana akili sawasawa?