Mnawakumbuka Mtegetwa,Ustadh Na Wage?

Mnawakumbuka Mtegetwa,Ustadh Na Wage?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
kwa wale walio bahatika kupiga mapindi kwa hawa watu.,vp bado wanaendeleza huduma zao maridadi za kielimu?
 
kwa wale walio bahatika kupiga mapindi kwa hawa watu.,vp bado wanaendeleza huduma zao maridadi za kielimu?

Mkubwa umenikumbusha mwaka 1999 nilipata kusoma kipindi cha history kwa Kamaniga the WAGE pale Bungoni Ilala. WAGE the son of Africa sasa jamaa ni PhD candidate wa Law na anafundisha Tumaini pale Kurasini.
 
Nilipiga long time pindi kwa mtegetwa...sijui kama bado anafundisha hadi sasa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom