Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,469 Reaction score 12,391 Aug 15, 2013 #1 kwa wale walio bahatika kupiga mapindi kwa hawa watu.,vp bado wanaendeleza huduma zao maridadi za kielimu?
kwa wale walio bahatika kupiga mapindi kwa hawa watu.,vp bado wanaendeleza huduma zao maridadi za kielimu?
M MUBOFU CM Member Joined Aug 11, 2013 Posts 5 Reaction score 1 Aug 16, 2013 #2 Dawa ya jiko said: kwa wale walio bahatika kupiga mapindi kwa hawa watu.,vp bado wanaendeleza huduma zao maridadi za kielimu? Click to expand... Mkubwa umenikumbusha mwaka 1999 nilipata kusoma kipindi cha history kwa Kamaniga the WAGE pale Bungoni Ilala. WAGE the son of Africa sasa jamaa ni PhD candidate wa Law na anafundisha Tumaini pale Kurasini.
Dawa ya jiko said: kwa wale walio bahatika kupiga mapindi kwa hawa watu.,vp bado wanaendeleza huduma zao maridadi za kielimu? Click to expand... Mkubwa umenikumbusha mwaka 1999 nilipata kusoma kipindi cha history kwa Kamaniga the WAGE pale Bungoni Ilala. WAGE the son of Africa sasa jamaa ni PhD candidate wa Law na anafundisha Tumaini pale Kurasini.
Wun JF-Expert Member Joined Jun 16, 2008 Posts 358 Reaction score 72 Aug 16, 2013 #3 Nilipiga long time pindi kwa mtegetwa...sijui kama bado anafundisha hadi sasa Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Nilipiga long time pindi kwa mtegetwa...sijui kama bado anafundisha hadi sasa Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
N Ndala ndefu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 237 Reaction score 42 Aug 18, 2013 #4 Umemsahau na Fizo.