Mnawaona wapi wakulima wa pamba na alizeti msimu huu

Mnawaona wapi wakulima wa pamba na alizeti msimu huu

Mr kenice

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2022
Posts
4,260
Reaction score
7,033
Habar Wana Jf,
This year, tmeona mfumuko wa bei hasa kwenye mafuta,
Nazungumzia Cooking oil.
Siku zote nlikua nawaona WAKULIMA WA malighafi za uzalishaji mafuta ya kula wako nyuma sana, hasa kwenye bei wanazopewa na wawekezaji , lakini wazo langu kwa sasa lmefitika kwani Hawa jamaa Nawaona mbali sana hasa mwaka, zle konakona za kuwashushia bei mwka huu haztakuepo Kwan kuna uhitaji mkubwa sana wa mafuta ya kula so ni mda wao wa kujidai.
images (17).jpeg

images (18).jpeg

Najarb kuwaza TU hzi bodi za pamba mwaka huu ztakuwaje ama serikali yote itarud huko, na je bei za mafuta ztashuka???


Wacha ni court maendeleo hayana chama.
 
Alizeti mwaka huu hasara kubwa, mvua zimegoma mazao yanakauka ila kwa wachache watakaopata watatusua balaa
 
Alizeti mwaka huu hasara kubwa, mvua zimegoma mazao yanakauka ila kwa wachache watakaopata watatusua balaa
Haya mabadliko ya tabia ya nchi, hasara yake ndio hii
 
Back
Top Bottom