Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
Mi siwajui hao, ndiyo mavi gani hayo?
wewe huwajui sasa kulikuwa na ulazima gani wa kucomment hapa?
na kama huwajui wewe ndio uwaite mavi?
Kuliko niwe na mtoto wa kike kama wewe ni bora niwe na chura..idiot !
"wise say"Ni wakali but wengi wanaigana sana style ya uandishi na flow sometimes, Nash MC ndo naonaga anaenda kivyakevyake.In short wanauwezo mkubwa but naona km bado hawajajitambua,wanaandika sana 'PUNCH' ambazo kwa asilimia kubwa naonaga ni nonsense,sanasana zinafurahisha kijiwe tu,na wanapendelea sana kuandika mashairi ya ulinganifu 'kama' kwa wingi kwenye lyrics zao.Nawashauri waachane na hizo punch zisizo na maana waandike vitu vya kueleweka km kaka zao wa zaman eg PROFJ,JMO,FA,AFANDE,SOLO,etc.
Mi siwajui hao, ndiyo mavi gani hayo?
Waganga njaa
mavi flani ivi kama mamako...................
kweli kabisa jama ni waganga njaa na ndio uanaume.....wanawake mnapenda kuganga shibe ndio maana mna dharau!!!
UANAUME NI KUGANGA NJAA??
JAY Z ANAGANGA NJAA??
MEMBER YEYOTE WA TAMADUNI MUSIK UKIMSIMAMISHA NA JAY Z NANI ATAONEKANA MWANAUME??
TUSIENDE MBALI
AY tu anawatosha
nitarudi
kama AY anakutosha sasa JayZ wa nini? acha kuhangaika mdada wewe. HipHop haiitaji your appreciations,we penda usipende jamaa ni wakali. Kaendelee kuimba taarabu na diamond wako
hahaa,Mkuu hii kitu inaboa sana kwa vijana hawa! Hawawezi kuimba straight lines.Ni wakali but wengi wanaigana sana style ya uandishi na flow sometimes, Nash MC ndo naonaga anaenda kivyakevyake.
In short wanauwezo mkubwa but naona km bado hawajajitambua,wanaandika sana 'PUNCH' ambazo kwa asilimia kubwa naonaga ni nonsense,sanasana zinafurahisha kijiwe tu,na wanapendelea sana kuandika mashairi ya ulinganifu 'kama' kwa wingi kwenye lyrics zao.
Nawashauri waachane na hizo punch zisizo na maana waandike vitu vya kueleweka km kaka zao wa zaman eg PROFJ,JMO,FA,AFANDE,SOLO,etc.