Mnawezaje kucheat & at the same time mkaweza kumaintain upendo wenu kwenye mahusiano yenu?

Lazima utapunguza upendo sehemu moja!
Huyu wangu kanicheat sana ila sikuwahi kuona or kuhisi dalili zozote zile sasa sijui alikuaga ananipenda ila huko alikua anapelekwa na tamaa zake tu or sijui nini tu ,,, nimemvulia kofia aisee,,, laiti kams nisingejiongeza kumchunguza basi ningejikuta naolea maselaaa,,,, baada ya Mungu ogopa sana kiumbe anaitwa mwanamke[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hapo kuna mengi, either umepunguza upendo kwake tofauti na awali,, au ulimcheat sanaaa kakuvumilia mpaka, pia yaeza kua humtosielezi kitandani au humhudumii na kumjali,,
 
Hii kitu ya kusomesha wapenzi wetu wa kike inapigiwa kelele sana. Na watu wameshaumizwa sana. Inakuwaje bado watu hawajifunzi. Kweli kale ""kashimo"" kanawafanya watu wakose akili kabisa.
 
Reactions: _ly
Unawashauri wenzako waoe bikira kwamba sisi tusiolewe sasa nyie tuoeni tu 😛
 
Subiri mabinti na wadada waje wakujibu mkuu!

Sisi wanawake kwanza muda wa kuchosha miili yetu hovyo hatutaki.

Pili kumbuka mwanamke akikupenda ni ngumu kukusaliti labda ukutane na mfanyabiashara au ambaye amekuchoka anakufanyia visa umuache.

Tatu ujifunze kutoa msaada bila kutarajia lolote itasaidia kupunguza maumivu
 
Kama nimemuelewa mleta mada yeye alikuwa anamuhudumia mchumba wake na si kutoa msaada.
 
"A man is polygamous by nature but monogamous by societal."

Hivyo basi kuchepuka ni asili yake. Mwanamke hana uwezo wa kuchet akibakiza mapenzi ya dhati kwa yule aliye mchiti.
 
Mimi kilio changu ni juu yenu majentromen na ma nice guys. .......hivi huu upoyoyo mtaacha lini.....? Utakuta ndugu zenu wanashea hadi ndala lkn nyie mpo busy kuwaonesha wanawake et mnajari pumbavu zenu mngekua mnajari mngeanza na kwenu Kwanza mapunga nyie.


Ila ninacho omba wanawake waendelee kuwanyoosha hivyo hivyo hadi mlegee matako shenzi nyie.

Mbona sisi wenzenu tunawatanua mipaja yao na kuwazalisha bila kufanya hayo na maisha yanaenda fresh tu nyie mapoyoyo mnakwama wapi.....?


Komeni tumechoka na nyuzi zenu zinazo fanya wanaume wote tuonekane ni malia lia kumbe wakali tupo
 
Ukitaka kutoboa kwenye cheating hata una mke
Kwanza hutakiw kumtongoza mwanamke like unamihad nae ya muda mrefu pia ni bora ukaanza ku date na love for money anakupa utam then unamlipa mmnaishana
 

Sorry mkuu, unazungumzia wanawake wa nchi gani? Hauwezi ukawa unawazungumzia wa tanzania.

Mimi nilichojifunza kwa wanawake ni kwamba, mwanamke hua hana maamuzi juu ya kuliwa au kutokuliwa. Akikutana na mwanaume mwenye right strategies, at the right time na anaejua kuchanganya karata zake vizuri, mzigo unaliwa fresh tuu bila wasiwasi wowote.
 
Nilichogundua wewe jamaa ni fala.
Mi naungana na wewe kwa hoja zifuatazo;

1. Kila siku tunapiga kelele humu MCHUMBA HASOMESHWI!! Lakini jamaa letu hili linajidai lina hela saana na mapenzi ova Sharukh Khan eti linamsomesha demu.
2. Liliponiacha hoi zaidi eti limeshaachana na mwanamke, bado linaendelea kumpa hela! Hili jamaa ni bonge la fala na linaweza likaja kumrudia huyu demu pamoja na kwamba demu kaliwa na kijiji kizima. Hao aliowataja ni anaowajua, vipi kuna wangapi wameshapita kimasihara?
3. Jamaa letu hili limewekeza nguvu zake zote kwa mwanamke mmoja kama roho. Wanawake wote waliojaa mitaani lenyewe haliwaoni linakuja apa kusema eti halijawahi kuchepuka. Haya ndio yale majamaa yanayotusimangaga sisi wachepukaji yanadhani hatuna akili.
4.
 
This looks like my girlfriend life story...na i was the hidden guy na ameprove kulikuwa kuna jamaa. After your story i had to use force to know the truth. I trust her the same and i thought i was the first guy .
 
Mwanang acha ufala wewe endeleq kula ivyo ivyo kibaharia
 
Wew unakuwa na demu harafu humcheat unataka uende peponi au?. Acha unyoshwe tu.
 
Hahahahaha....vijana bana!!!

Hawa viumbe hakikisha unamuweka kiganjan!!!...jifany unampenda mnoooo....

Wakati wa shoo mpe dozi kam!l!!!!!....

Hakikisha akuelewi unampenda kias gani .... Naludia hakikisha hakuelewi...

N.B
Ili ukae na Aman yakupasa kidume uwe nae zaid ya mmoja!! Uta~Relax.........
 
Kwani nyie mnawezaje kucheat na kuendelea kumaintain upendo? Ndio hivyo hivyo nasi tunaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…