Mnawezaje kufanya kazi kwenye ofisi ambako kuna watu mnaowazidi umri ila wanawazidi cheo?

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
4,071
Reaction score
10,028
ugonile,

before sijajiajiri nilikua nikijiuliza sana hili swali bila kupata majibu endapo nimgeangukia kwenye hayo mambo ya kuajiriwa.

wale mliopo huko ofisini na mpo chini ya watu wanaowazidi cheo mnawezaje kustahimili purukushani za apa na pale especially kama huyo mkubwa wako kicheo ana mambo ya hovyo mfano zarau hasa kama ni mwanamke?
 
Mi cha mhimu nalipwa mshahara wangu
 
Muhimu heshima sehemu ya kazi, na kila mtu anafanya majukumu yake
 
ugonile,

before sijajiajiri nilikua nikijiuliza sana hili swali bila kupata majibu endapo nimgeangukia kwenye hayo mambo ya kuajiriwa.

wale mliopo huko ofisini na mpo chini ya watu wanaowazidi cheo mnawezaje kustahimili purukushani za apa na pale especially kama huyo mkubwa wako kicheo ana mambo ya hovyo mfano zarau hasa kama ni mwanamke?
Mwanamke kiasili hajaumbwa kuwa kiongozi na ndio maana hata kwenye maofisi huwa wana matatizo. Siku akiwa na mood swing ofisi nzima mtasoma namba.
 
japo sipo kwenye ajira, ila nipo sehemu ambayo Ina shughuli ambazo zina watu wazima baadhi.

Kikubwa ni kuwa wewe, usi ogope au kuanza kuwa na chuki nao kisa wame shika nafasi anbayo una ona sio sehemu zao.

fanya kazi zako ipasavyo na Kwa wakati, usipo elewa uliza kwa hao hao vijana usi ogope kuchekwa.

zingatia, kijana ukiwa na nafasi sehemu yoyote na Kuna watu wazima zaidi yako, basi Jitahidi heshima, adabu na utu viwe ndani yako.
 
Too stupidy threads ever seen since of my birthday
 
Kuna sheria na kanuni za kazi, cha muhimu nikuheshimu kazi na kuwa mtii, mengine utayasikia tu.
 
Back
Top Bottom