MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Mi cha mhimu nalipwa mshahara wanguugonile,
before sijajiajiri nilikua nikijiuliza sana hili swali bila kupata majibu endapo nimgeangukia kwenye hayo mambo ya kuajiriwa.
wale mliopo huko ofisini na mpo chini ya watu wanaowazidi cheo mnawezaje kustahimili purukushani za apa na pale especially kama huyo mkubwa wako kicheo ana mambo ya hovyo mfano zarau hasa kama ni mwanamke?
kama hujaelewa mada tulia, nani alikwambia pesa inatafutwa?Tafuta hela kijana, unaweza ukaitwa mzee ata na babu yako
Mwanamke kiasili hajaumbwa kuwa kiongozi na ndio maana hata kwenye maofisi huwa wana matatizo. Siku akiwa na mood swing ofisi nzima mtasoma namba.ugonile,
before sijajiajiri nilikua nikijiuliza sana hili swali bila kupata majibu endapo nimgeangukia kwenye hayo mambo ya kuajiriwa.
wale mliopo huko ofisini na mpo chini ya watu wanaowazidi cheo mnawezaje kustahimili purukushani za apa na pale especially kama huyo mkubwa wako kicheo ana mambo ya hovyo mfano zarau hasa kama ni mwanamke?
sawaUnahitaji ukombozi wa fikira. Hata ukiwa muuza duka, mtoto akija na hela ya biskuti au soda ni boss wako
another innocent neck carrying stupid headToo stupidy threads ever seen since of my birthday