Mia saba
JF-Expert Member
- Mar 4, 2022
- 255
- 390
Kusoma vitabu imekuwa ni moja Kati ya kazi ngumu kwa watu wengi, hivyo kupelekea kukosa maarifa mengi yanayopatikana kwenye vitabu.
Mfano. Mm mwenyewe nimeanza kusoma kitabu cha The monk who sold his ferar
Nimechoka kabla ata chapter moja kuisha.
Swali langu Ni
*Mnawezaje kusoma vitabu na huwa mnatumia utaratibu gani kupata maarifa hayo bila kuchoka mapema na kukielewa na kukimaliza chote.
#Naomba kushirikishana Kama Kuna mtu mwenye vitabu vyenye kuelezea masuala ya utendaji katika biashara kwa ujumla atusaidie kuongeza maarifa zaidi.
Hivi kwenye picha Ni mfano wa vitabu unakuta mtu kasoma ndani ya mda mfupi.
Natamani kujua zaidi ndo maana natafuta maarifa.
Natanguliza shukrani kwa wachangiaji wote