mnazikumbuka nyimbo kali za Extra Musica?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
habari zenu wana jamvi..leo nimekumbuka mziki wa kikongo ulivyotamba enzi hizo..bendi ya Extra musica chini ya Uongozi wa Rogaroga ilitikisa sana. Tukumbushane nyimbo zao zilizotamba tukianza na Losambo..
 
Mimi najua Etat' Major tu, nyingine nazisikia ila sijui zinaitwaje...
 
Mimi najua Etat' Major tu, nyingine nazisikia ila sijui zinaitwaje...

dah..hata mm mkuu nazisikiaga tu ila czijui kwa majina..ngoja tuwasikilizie wadau
 
Ngoja niwatajie hizo nyimbo za Extra Musica zilizotamba enzi hizo. 1.Fredy Nelson 2. Chagrin pluplu 3.Losambo 4.Etat Major 5.Amitat na nyinginezo nyingi. Hili kundi linatokea Congo Blazaville na walikuwa wapinzani wakubwa na Wenge Musica BCBG ambao wanatokea Congo Kinshasa. Washawahi kuchukua tuzo za Kora Africa mara nyini tu.
 
Jamaa walitisha..
FRED nelson. .kiongozi
Killer Mbongo...rapper
Rogerroger..solo
 
Jamani kitu MATONGI kinanipeleka far away.
 
gigifal.. Alikuwa noma baadaye akaunda kundi lake
 
Kinachonikera ni kua kila kundi likipata mafanikio linasambaratika, kwa mfano wako wapi hao Extra Musica? Wenge BCBG? Loketo? Kateratee ya Koffi Olomide? Zaiko langalanga? Tamtam? Bambino sound? Mchinga sound? Fm academia? Na makundi mengineyo yaliyowahi kutamba miaka ya 90?
 

hiyo namba 3 naikubali sana ktk nyimbo zote walizowahi kutoa hao Extra musica
 

naona maslahi ndio chanzo cha kutengana
 
naona maslahi ndio chanzo cha kutengana

Kama ni masilahi kwa nini wasiteue wasimamizi wa makundi ili kuhakikisha mgawanyo linganifu kuliko kuanzisha kundi linatuburudisha kwa msimu mmoja kisha msimu ujao huwaoni.
 
Kama ni masilahi kwa nini wasiteue wasimamizi wa makundi ili kuhakikisha mgawanyo linganifu kuliko kuanzisha kundi linatuburudisha kwa msimu mmoja kisha msimu ujao huwaoni.

si unajua teena..pesa haina undugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…