ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mademu mnazingua Sana mtu unatumiwa pesa badala ya kusema Asante we unaniandikia meseji eti tantee.ujinga mtupu,wizi mtupu.kwanini usiseme asante.unapewa pole unaumwa badala ya kusema Asante unasema tantee ili iweje?unasifiwa mzuri badala ya kusema Asante unajifanya dogo usiyejua kuongea eti tantee.pumbafu kabisa mnajifanyaga vitoto wakati mmeshakomaa.mwingine anayejifanya mzungu kwenye thanks anakuwekea Enx.nini hicho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app