Mnazipendea nini hidden roof house?

ni fasheni tu ila sio jambo la ulazima sana pia mafundi wetu hawawezi kufanya hidden roof inabidi upate fundi mzuri hasa juu ya maji kuziba na ile siment maalum au bitmen na yale mabomba ya kushusha maji kwa uwelewa wangu jambo mm sio fundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…