MNEC Haji Jumaa ambomoa Dkt. Bashiru Ally

Izia

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2021
Posts
303
Reaction score
477
MNEC Haji Jumaa amesema katika kipindi chake cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Dr. Bashiru, Halmashauri kuu ya CCM haijawahi kukaa kwa lengo la kuielekeza Serikali bali walikaa kupokea maelekezo ya Serikali. Ameongeza kusema Halmashauri Kuu ilikuwa rubber stamp tu ya maagizo ya Serikali.

Chanzo: Darmpya Blog
 
Alianza Speaker wa Bunge Bwana Ndugai, akaja Dr Hamis Kigwangala, akaja Dr Diallo leo ni Haji Jumaa still the list goes on wote hao ni Wajumbe wa NEC, CC na Serikali kwa Jumla

Nasubiri siku asimame Ally Kessy pamoja na Deo Sanga Wazee wa atawale milele nione watakuwa na mtazamo gani kuhusu awamu ya tano.
 
Huu mnyukano wa mabeberu weusi wacha nivute bakuli la popcorn nicheki muvi.
 
Kipindi cha dikteta hali ilikuwa mbaya sn
 
Saizi ndio wanajifanya wana MENO kumbe wanafki tu, mwendazake angekuwepo sidhani kama kuna ambaye angethubutu kufungua kinywa na kuyasema kama haya na ya mengineyo yanayo muhusu
 

Watasema yote na bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…