KIFO CHA MAMA MJAMZITO,MTOTO AKIJIFUNGUA UTATA Barnaba Tillya mme wa marehemu Irene Tillya mpaka sasa haamini kama kweli mke wake kipenzi hayupo duniani na kila anapofikiria kilichotokea ndani ya wodi ya wazi na baadaye chumba cha upasuaji ndivyo anavyozidi kuchanganyiikiwa. Ni tukio...