Mkuu, how can one upgrade his decoder?Upgrade your decoder,jamaa sio wezi acha kulalama!umewapigia kastama care? Wamekujibuje? Watanzania tuache kulalama kila saa
Cha kushangaza hata castumer care wenyewe simu zao hazipatikani and hw can I upgrade my decoder?
kiukweli star times hakuna jipya. Watuwekee vipindi vya maana ndio nitalipia tena
Heri mie natumia TING decoder kuna ATN, ITV, EATV, Channel Ten, Aljazeera, KBC, DUBAI SPORT(wanaonesha bundesliga LIVE) Emmanuel,TBC1 za dini kibao so kwa sasa zipo 21 lkn wanampango wa kuongeza mpaka 42 ifikapo April, hakuna chenga wala mchanga swaaafi. ATN wanaonesha live Champions league.
Maneno TING
EASY TV wao wana channel zipi?